A memo to Baba Njoroge

(Image courtesy)

Baba Njoroge
hii sitarudia
kama una jiika ungesema jana
Kamwana akisema imenona,
hakusema ishinjwo

hii kihiko(doa) yetu,
yeye na baba yake hawakuja
hawakunitoa Mathioya
na kuashia muthee mari
mbusi na muratina

Nikawahi ota
ama nipate kioneki (maono)
ama pepo baya ije
kwa hii kompaud
ati unataka gacungwa
Ma ya Ngai!
Utaoba chini ipanuke ikumeze

Ni nani amerea hii watoto tano?
Kutafuta mafuti
na kufereka vitu marigiti
ukiwa mung’etho
mudomo siasa tu

Kitu yote iko hafa
tumetafuta nawewe
ng’ombe, mburoti
Hakuna wa tubo
na wa mugongo
mimi sitapakwo matope

Hii mabo ya kuoa bibi ingine
Ni kaba umefatio
ueke singo
Utataashiria inne ukikibiria nane
ni mimi nimekwabia hifo.

Niuguo,
nimemarithana nawewe.

Njeri Wangari
30th April, 2014
—————————————————————————
All rights reserved©
njeriwangari(at) kenyanpoet(dot) com

Image courtesy: www.justcurious.co.za


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Kenyan Poet Logo

Telling our stories, shaping our narratives

Kenyan Poet